October 05, 2009

mgao wa umeme



Mgao wa umeme ulionza hivi karibuni wawa chanzo cha kuzorota kwa kipato kwa wananchi hasa wakipato cha chini kutokana na shughuli za uendeshaji uchumi kusimama. Misongamano ya magari nayo yawa kero kwa watumiaji wa magari jijini. 

2 comments:

Anonymous said...

hii imekuwa too much mgao kila mwaka?

Anonymous said...

cha ajabu nini? Dr Idrisa asishaonya kuwa mgao ukitokea tusilaumiane sasa mnataka kusema nini. Acheni tukae kizani ili biashara zao za majenereta zifanyike faster faster