October 08, 2009

Afya ya JK iko bomba


Madaktari wa rais J.K wathibitisha kuwa rais yuko fit katika kulitumikia Taifa letu la Tanzania.

2 comments:

Anonymous said...

pole sana rais wetu tunakuombea kwa mwenyezi mungu akakujalie afya njema zaidi.

Anonymous said...

huu ndio ukweli na uwazi unaotakiwa kuigwa na viongozi wetu wote. kitendo cha rais kutangaza kwa umma mwenendo wa afya yake ni kitendo cha kishujaa na kizalendo.