January 29, 2010
Inafaa hata hapa kwetu
Katika kuhakikisha mazingira yanatunzwa Jiji la Dhaka, Bangladesh lenye wakazi wapatao milioni 20 wameanza kuweka vyoo vinavyotembea kwenye gari ili kupunguza matukio ya kujisaidia hovyo ambayo kwa kiasi kikubwa yanachangia kuchafua jiji. Hapa kwetu tunashuhudia kuta mbalimbali zikiwa na matangazo yanayokataza watu kujisaidia 'TANGAZO HURUHUSIWI KUKOJOA HAPA AMRI'. Hivyo tunatoa changamoto kuwa katika ongezeko la kasi katika miji yetu mikuu kama Dar Es Salaam na kwingineko inastahili wakuu wa miji kuwa wabunifu ili kupunguza ama kuondoa tatizo hili.
January 25, 2010
January 11, 2010
Marais na Mawaziri wa badae...
Hawa ndio Maraisi na Mawaziri watarajiwa. Kutoka kushoto ni SARAH, SILIVIA,RIHANA,NADYA,COLIN & STEPHEN.
January 09, 2010
CAESAR & KADO WAMEREMETA
Ceasar na mai waifu wake Kado katika pozi
Mzee Stephen Mtaki na mai waifu wake Debora Salanya Mtaki (wazazi wa bi harusi) wakiwa na nyuso za furaha.
Kutoka kushoto ni mama Wanjiye(mama mkubwa wa bi harusi) na wazazi wa bi harusi
Kaka wa bi harusi.Emanuel-Salanya- Mtaki
Hakika ilikuwa ni siku ya furaha sana kwa wawili waliopendana kwa dhati kutimiza ile ahadi ya mungu- Mathew 19:5-6. Hongereni sana
January 03, 2010
January 01, 2010
happy new year 2010
Wishing you all my friends a very happy new year 2010. Hope this year will have more and more to read. Thanks for your support.
Subscribe to:
Posts (Atom)
