January 31, 2011

UZINDUZI WA CLOUDS TV NDANI YA STARTIMES

FURAHA NA NDEREMO KATIKA UZINDUZI WA CLOUDS TV KATIKA KING'AMUZI CHA STARTIMES.



HATA WACHINA WANAKIWEZA KIDUKU

January 08, 2011

HERI YA MWAKA MPYA 2011

Heri ya mwaka mpya wadau wangu wote. Ni muda mrefu sana nimekuwa kimya sana hii nikutokana na mambo ya kijamii kuwa mengi na hivyo kunifanya kuwa kimya kwa muda. Hakika nimewamis na hope mwaka huu tutakuwa tena pamoja. Nawatakia mafanikio mema na juhudi zaidi katika kazi zenu.