January 08, 2011
HERI YA MWAKA MPYA 2011
Heri ya mwaka mpya wadau wangu wote. Ni muda mrefu sana nimekuwa kimya sana hii nikutokana na mambo ya kijamii kuwa mengi na hivyo kunifanya kuwa kimya kwa muda. Hakika nimewamis na hope mwaka huu tutakuwa tena pamoja. Nawatakia mafanikio mema na juhudi zaidi katika kazi zenu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment