October 23, 2009

simba zaidi ya Manchester united



Simba sports club imeonyesha kuwa iko juu zaidi ya manchester united ya nchini uingereza kwa kuweza kufikisha point 24 ikiwa imecheza mechi 8 bila ya kupoteza mechi hata moja huku manchester wakiwa na point 22 na mchezo mmoja mbele ya simba. Wakati simba inakutana tarehe 31 oct na watani wao Yanga, manchester nao watakuwa na kazi ngumu ya kukutana na Liverpool jumapili ya tarehe 24 oct. Nani kati yao ataibuka mshindi?

3 comments:

Anonymous said...

kaka hiyo comparison sina uhakika kama uchambuzi huo niwa kweli. ligi ya uingereza ni ngumu ukilinganisha na hiyo ya kwetu ila kwa simba atashinda na manchester bila shaka itakuwa hivyo hivyo

Anonymous said...

manchester na simba ni kama mbingu na arhi

Anonymous said...

huo ni mkwara tu Simba hatafurukuta kwa Yanga anawaonea hao hao subiri ujionee mziki mnene hiyo siku.