October 27, 2009

wafungaji bora duniani

ANTONIO DI NATALE UDINESE 9 SERIE A
ANDERSON NENE MONACO 9 LIGUE 1
JOHN BOKO AZAM FC 8 VODACOM Tanzani
DIDIER DROGBA CHELSEA 8 PREMIER LEAGUE
FERNANDO TORRES LIVERPOOL 8 PREMIER LEAGUE
HUSSEIN BUNU JKT RUVU 7 VODACOM Tanzania
WAYNE ROONEY MAN UTD 6 PREMIER LEAGUE
CRISTIANO RONALDO REAL MADRID 5 LA LIGA

3 comments:

Anonymous said...

hakika mpira wa bongo umekuwa kiasi kwamba sasa watanzania wamekuwa na hari ya kutaka kufahamu kila kinachoendelea. Pendekezo langu kama mdau wa soka ni kwa serikali kurudisha michezo mashuleni wakimaanisha kabisa.

Juma Abdallah said...

ulinganifu wa wachezaji wa ndani na wa nje huko nikuonyesha kuwa watanzania wameanza kulithamini soka la nchini.

Nasri from Egypt said...

Tusubiri Jumamosi Simba na Yanga hapo ndipo tutakapoona soka la ukweli.