November 23, 2009

KUPIGA KELELE MWISHO UMBALI WA MITA 30

Nchini Kenya tume inayohusiana na mazingira  inatarajia kupitisha sheria  inayokataza kupiga kelele kwa umbali usiozidi mita 30 kutoka pale ulipo.Katika kuhakikisha kuwa sheria hiyo inafaatiliwa tume hiyo imetangaza kuwatoza faini ya ksh 30,000 au kwenda jela kwa miezi 18. Sheria hii itawakabiri wapiga debe, waumini wa dini za kilokole,  kumbi za starehe ambazo sauti zake zimekuwa zikiwabughudhi wananchi. Swali ni je itafanikiwa?

3 comments:

Anonymous said...

kwa mtindo huo watakamatwa wengi. Na ikiletwa hapa kwetu ndio itakuwa balaaaa

Magreth said...

hiyo ni balaa wenzetu bwana? Ndio mambo gani hayo.

Paschal said...

Hapana sio issue ya weznetu bwana ukitazama kwa undani utagundua kuwa hawa jamaa wametazama mbali. jaribu kupata picha asubuhi unaelekea zako katika shughuli za ujunzi wa taifa unakutana na kelele za wapiga debe wa kazi gani. Katika mizunguko yako kongo kelele kibao unaporudi nyumbani chini ya dirisha lako kuna fundi mbao. Utafanyaje?