July 03, 2010
majonzi kwa Afrika
Majonzi makubwa sana kwa Waafrika karibu wote baada ya timu pekee toka katika bara la Afrika kutolewa jana katika michuano ya kombe la dunia katika mchezo uliochezwa jana katika uwanja wa Soccercity na timu ya Uruguay kwa kufungwa kwa njia ya penalt baada ya kuzecha kwa muda wa dakika 120.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)




2 comments:
VIZAZI NA VIZAZI HAVITAMSAHAU A.GYAN KWA KUTOIWEZESHA GHANA KUINGIA NUSU FAINALI
GHANA WAKO JUU
Post a Comment