January 09, 2010

CAESAR & KADO WAMEREMETA


Ceasar na mai waifu wake Kado katika pozi

Mzee Stephen Mtaki na mai waifu wake Debora Salanya Mtaki (wazazi wa bi harusi) wakiwa na nyuso za furaha.

Kutoka kushoto ni mama Wanjiye(mama mkubwa wa bi harusi) na wazazi wa bi harusi

Kaka wa bi harusi.Emanuel-Salanya- Mtaki



Hakika ilikuwa ni siku ya furaha sana kwa wawili waliopendana kwa dhati kutimiza ile ahadi ya mungu- Mathew 19:5-6. Hongereni sana

2 comments:

Stephen said...

Ceasar the great hongera sana. Kwa kusema ukweli shughuli ilikuwa bomba kichizi. Na hakika waswahili hawakukosea kusema kuwa milima haikutani ila binadamu hukutana na hapo ndipo ilipotimia

zuhra said...

Tunakutakia maisha marefu yenye furaha na amani.