December 14, 2009

Hongera Paulina Nkini


Familia ya bwana na bibi Bendera wanakupongeza sana kwa kupata kipaimara chako.Tunakutakia maisha mema katika maisha yako.

kutoka kulia ni baba mzazi wa Paulina Nkini


keki ya asili ilikuwapo siunajua tena kutoka kule kwetuu.....

2 comments:

Anonymous said...

ulipendeza sana

shaka said...

Hilo lijikeki nimelipenda lakini vipi kisusio kilikuwepo?