August 20, 2010
Hongera LYDIA BENDERA
Tunapenda kukupongeza sana sisi kama wanafamilia kwa kuweza kurudisha fomu zako na kuweza kupitishwa jina lako bila ya kupingwa. Hakika mwenyezi mungu yu pamoja nawe katika harakati hizi za kisiasa katika kuweza kuja kuwawakilisha vyema wapiga kura wako wa jimbo la Kibaha Mjini. Tunafahamu kuwa safari ni ngumu katika kuhakikisha ndoto zako zinakuwa lakini kwa uweza wake mola yote yatakuwa sawa. Hongera sana tena sana
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


2 comments:
Hongera sana tuko nyuma yako
Safari hii imeanza lini mbona kimya kimya? Sisi wanafunzi wako wa wal-urs kibaha tunakutakia mafanikoa mema katika kugombea ubunge katika jumbo letu la kibaha mjini. Wewe ndie unaestahili hongera sana teacher bendera
Post a Comment